Deni la China haliwezi kuchukua bandari kuu ya Kenya' - EDUSPORTSTZ

Latest

Deni la China haliwezi kuchukua bandari kuu ya Kenya'Waziri wa Fedha wa Kenya, Ukur Yatani, amepinga ripoti zinazoashiria kwamba bandari kuu ya nchini Kenya huenda ikachukuliwa na China ikiwa itashindwa kulipa mikopo mikubwa iliyopewa kufadhili ujenzi wa reli mpya.

Gharama ya ujenzi wa reli hiyo mpya ya urefu wa kilo mita 472 ni karibia mara tatu ya viwango vya kimataifa ikilinganishwa na na makadirio ya awali.

Jana Jumatatu gazeti moja liliripoti kuwa China huenda ikachukua usimamizi wa bandari ya Mombasa ikiwa Kenya itashindwa kulipa mkopo wa dola bilioni 3.2 sawa na (£2.3bn) .

Lakini katika taarifa ya waziri wa fedha alisema: "Hakuna hatari kabisa ya China au nchi nyingine yoyote kuchukua bandari hiyo," amesema.

Aliongeza kuwa mkopo wa ujenzi wa reli hauwezi: "Kulipwa kupitia mfuko mwingine wowote au chombo kingine chochote bila idhini ya bunge.

"Serikali ya Kenya haiwezi na haijaahidi kutoa mali ya umma kama dhamana ya kulipa deni kwa sababu hatua kama hiyo ... inakiuka masharti ya makubaliano yake ya mikopo iliyopo," amesema Yatani.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz