Country Wizzy Afunguka Ukimya wa Cheed na Killy - EDUSPORTSTZ

Latest

Country Wizzy Afunguka Ukimya wa Cheed na KillyRAPA Country Wizzy kutoka lebo ya Konde Gang ya Harmonize amefunguka ukimya wa wasanii Killy na Cheed ambao tangu wamehamia kwenye lebo hiyo wakitokea Kings Music ya Alikiba wamekuwa kimya kwenye kuachia kazi.

Akizungumzia suala hilo ambalo mashabiki wengi wamekuwa wakihoji juu ya ukimya wao kwenye mitandao ya kijamii huku baadhi wakidai wamefulia, Country Wizzy amesema.

“Ukimya wa Killy na Cheed ni unasababishwa na ubize wa kutengeneza Album, ambapo walipanga watoke na style hiyo na wapo katika hatua ya mwisho kukamilisha Album yao na kabla ya mwezi wa tano itakuwa tayari, Killy ana ngoma moja kali sana kwenye Album yake ninayo kwenye simu yangu,” amesema.

Aidha, tangu alivyosainiwa Konde Gang rapa Country Wizzy tayari ameshaachia EP moja, kupewa zawadi ya gari na sasa hivi anatamba na ngoma yake mpya ya ‘Baby’.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz