Cardi B "Msanii Kodak Black Anafaidika Mpaka Kufa na Wimbo Wangu wa Bodak Yellow" - EDUSPORTSTZ

Latest

Cardi B "Msanii Kodak Black Anafaidika Mpaka Kufa na Wimbo Wangu wa Bodak Yellow"

Wimbo wa "Bodak Yellow" haumfaidishi Cardi B tu peke yake, kuna wengi wanaopata pesa kupitia wimbo huo ambao wiki hii umefikia kiwango cha Diamond kwenye mauzo.

Akimjibu shabiki mmoja Twitter, Cardi B alisema Kodak Black anafaidika kifedha na wimbo huo kwa sababu alichangia kupatikana kwa jina la wimbo na hata midondoko (flows), pia Cardi alipata ushawishi kuufanya baada ya kuusikia wimbo wa Kodak, No Flockin.

-

"Alitajwa kwenye washiriki wa wimbo (credit) na wote tunafaidika nao hadi tunakufa. Wimbo unaitwa Bodak Yellow kwa sababu." aliandika Cardi B ambaye huo ulikuwa wimbo wake wa kwanza na ulitoka June 16, 2017.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz