Beyonce Avamiwa na Majambazi, Waondoka na Mzigo wa Mabilioni - EDUSPORTSTZ

Latest

Beyonce Avamiwa na Majambazi, Waondoka na Mzigo wa Mabilioni

Beyonce ni muhanga wa tukio la uvamizi, avamiwa na kuibiwa vitu vyenye thamani ya ($1 million) takribani TSh. Bilioni 2. Kwa mujibu wa taarifa toka mtandao wa TMZ, wezi hao walifanikiwa kuvamia eneo/nyumba ambayo Beyoce huwa anahifadhia mali zake ikiwemo vito vya thamani mjini Los Angeles.

Imeelezwa, wezi hao walifika na kuiba zaidi ya mara mbili kwenye maghala hayo mwezi huu. Awamu ya kwanza, waliondoka na vitu kama pochi na magauni ya thamani. Awamu ya pili walirejea na kuiba pochi, midoli ya watoto na picha.

Eneo hilo limekodishwa na kampuni ya Beyonce iitwayo Parkwood Entertainment na hutumika kuhifadhia vifaa vya production na vitu vingine binafsi vya Beyonce. Polisi wanaendelea na uchunguzi na hadi sasa hakuna aliyekamatwa.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz