Baby John afunguka mazito kuhusu jinsia yake - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Baby John afunguka mazito kuhusu jinsia yake

 


Mwenyekiti wa Tanzania Voice of Humanity Baby John amesema kutokana na changamoto ukamilifu wa viungo vya uzazi wakati wa kuzaliwa kwake ndiyo vinafanya kushindwa kuitwa mwanamke au mwanaume.

 


Akizungumza kwenye kipindi cha DADAZ ya East Africa TV Baby John  ameeleza kuwa hawezi kusema kama ana jinsia moja au mbili kwa sababu ili uwe una jinsia kama mwanaume au mwanamke lazima kuna baadhi ya viungo uwe navyo mwilini ambavyo yeye hana.


"Kwa kifupi nilizaliwa na changamoto ya ukamilifu wa viungo vya uzazi ambavyo vinafanya kushindwa kuitwa mwanamke au mwanaume, nilivyozaliwa mama yangu alipewa taarifa mbili ya kwanza ni mtoto wa kiume, ya pili wa kike"


"Siwezi nikasema nina jinsia mbili au moja kwa sababu ili uwe na jinsia kuna viungo lazima uwe navyo, kwa mfano mwanamke lazima awe na ovari, uteras na mirija ya uzazi lakini hivyo vyote mimi sina na kwa mwanaume pia hivyohivyo, nimebaki njia panda" 


Aidha ameongeza kusema watu wenye tatizo hilo huwa wanazaliwa hivyo na hawataweza kushika ujauzito wala kumpa mtu ujauzito.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz