AS Vita Waja na Mkwara Mzito-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

AS Vita Waja na Mkwara Mzito-Michezoni leo

MSHAMBULIAJI wa AS Vita, Ducapel Moloko, amewapiga mkwara mzito Simba kwa kusema kuwa watachukua alama tatu watakapokutana uwanjani Jumamosi hii.

Kauli hiyo ameitoa zikiwa zimebaki siku chache kabla timu hizo hazijavaana kwenye mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayochezwa wikiendi hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Moloko amesema kuwa, wamejipanga kuchukua ushindi kwa Simba ili kutengeneza nafasi ya kufuzu hatua ya makundi.“Sisi tumejiandaa na tutaifunga Simba ikiwa nyumbani kwao na alama zote tutazichukua, subiri tuje mtauona moto wetu,” alisema mshambuliaji huyo.

Katika michuano hiyo, Simba ndiyo vinara wa Kundi A wakiwa na pointi 10, wakifuatiwa na Al Ahly yenye saba, huku AS Vita ikijikusanyia pointi nne na Al Merrikh moja. Timu zote zimecheza mechi nne zikibakiwa na mbili kukamilisha hatua hiyo kabla ya kwenda robo fainali

The post AS Vita Waja na Mkwara Mzito appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz