ARSENAL YAWACHAPA OLYMPIACOS 3-0 UEFA EUROPA LEAGUE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

ARSENAL YAWACHAPA OLYMPIACOS 3-0 UEFA EUROPA LEAGUE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

ARSENAL jana wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Olympiakos katika mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora UEFA Europa League Uwanja wa Georgios Karaiskaki Jijini Piraeus, Ugiriki.
Mabao ya Arsenal yalifungwa Martin Odegaard dakika ya 34, Gabriel Magalhaes dakika ya 79 na Mohamed Elneny dakika ya 85, wakati la Olympiakos limefungwa na Youssef El-Arabi dakika ya 58 na timu hizo zitarudiana Machi 18 Uwanja wa Emirates Jijini London
 


No comments:

Post a Comment