Anjella wa Harmonize afunguka kutaka kunywa sumu - EDUSPORTSTZ

Latest

Anjella wa Harmonize afunguka kutaka kunywa sumu

First Lady wa Konde Gang Anjella ameshea stori yake na EATV & EA Radio, kuhusu kutaka kunywa sumu na kutoroka nyumbani wakati anaanza ishu za kimuziki ambapo mama yake hakuwa anampa sapoti ya asilimia 100.

Anjella amesema mama yake sio mtu ambaye anapenda muziki kwa sababu ni mtu wa kanisani lakini anamshukuru Mungu amesimamia malengo yake mpaka leo amefanikiwa kusainiwa Konde Gang.

"Nilimwambia mama watanikataza, watanipiga lakini msimamo wangu upo palepale kwa sababu sioni mafanikio yangu mengine nje ya muziki, kuna wakati nilitamani ninywe sumu na kutoroka nyumbani lakini nilituliza akili na kufuata mafundisho ya kanisani ambayo yalinisaidia" amesema Anjella

Wiki iliyopita alifanyiwa party maalum ya kukaribishwa kwenye lebo hiyo ya Konde Gan na tayari ameshaachia kazi yake mpya inayoitwa kama aliyomshirikisha Harmonize.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz