-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

FULL TIME: Pointi tatu zinakwenda Jangwani, ukiwa ni ushindi wa kwanza baada ya kuukosa katika mechi tatu zilizopita. Nyota kutoka Angola, Carlinhos amefunga bao pekee lililowazamisha Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, jijini Dar es Salaam.

The post Yanga Yashinda dhidi ya Mtibwa Bao 1-0 appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand