-->

Type something and hit enter

On 


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema WHO haijapokea taarifa kutoka #Tanzania kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali kuhusiana na #COVID19


Tedros amesema hali hiyo inatia wasiwasi na ametoa wito kwa Serikali ya Tanzania kuanza kuratibu maambukizi na kutoa data kuhusiana na COVID-19 nchini humo


Tedros amesema mwishoni mwa Januari alishirikiana na Mkuu wa WHO barani Afrika, Matshidiso Moeti, katika kuihimiza Tanzania kuongeza hatua za kiafya dhidi ya COVID-19 na kujiandaa na mikakati ya kutoa Chanjo.

Source:Click to comment
 
Blog Meets Brand