-->

Type something and hit enter

On
We ni underground na ungependa kufanya collabo na Rosa Ree? Ndoto yako inaweza kutimia, sikia hii, Rosa Ree ametoa fursa ya upcoming artists kuonesha vipaji vyao kupitia dundo la ngoma yale ambayo kaiweka instagram , na mshindi Rosa Ree atafanya nae collabo...Tazama Video Kwa Maelekezo zaidi

 Click to comment
 
Blog Meets Brand