Wapiga Debe 30 Wakamatwa Stendi Mpya iliyoko Mbezi Luis - EDUSPORTSTZ

Latest

Wapiga Debe 30 Wakamatwa Stendi Mpya iliyoko Mbezi LuisWapiga debe 30 wamekamatwa katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli Bus Terminal kwa kusababisha usumbufu kwa Abiria

Meneja wa Stendi, Maira Mkama amesema wapiga debe waliokuwa Ubungo, Riverside na Mbezi wamevamia stendi hapo

Mkama ameliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum kuongeza Askari na gari kwaajili ya doria ili kuwakamata wapiga debe watakaoendelea na shughuli hiyo

Stendi mpya ya Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi jirani imeanza kutumika Februari 25 ambapo Stendi ya Ubungo imefikia ukomo wa matumizi

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz