Wafanyakazi 27 wa rais wa Sudan Kusini wana Corona - EDUSPORTSTZ

Latest

Wafanyakazi 27 wa rais wa Sudan Kusini wana CoronaWafanyakazi ishirini saba wa ofisi ya rais wa Sudan Kusini wamepatwa na virusi vya Covid-19, Wale walioathiriwa zaidi ni wafanyakazi wangazi ya chini na wafanyakazi walinda usalama wa rais.Rais Salva Kiir hajapatikana na virusi, kulingana na msemaji wake Ateny Wek Ateny.

“Ni kweli, zaidi ya wafanyakazi 20 wamepatikana na virusi, hasa wale wa kitengo cha ulinzi na wafanyakazi wa ngazi ya chini katika ofisi ya rais.

“Mimi ni mmoja wa maafisa wawili wa ngazi ya juu walipatikana na corona, mimi na mchanganuzi wa sera – idadi jumla ni 27,” Bw Ateny aliiambia BBC.

Amesema kuwa wananyakazi wote wa Ikulu ya rais katika mji mku Juba watapima tena kwa awamu ya pili kama tahadhari. Mawaziri wawili na mshauri wa rais pia walipimwa mara ya pili.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz