Waarabu wa Al Ahly Walia na Joto la Dar-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Waarabu wa Al Ahly Walia na Joto la Dar-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

WAPINZANI wa Simba kwenye mechi yao ya kimataifa inayotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Mkapa Al Ahly, Waarabu wa Misri wamesema kuwa licha ya joto la Dar kuwa kubwa halitawafanya washindwe kusaka ushindi.

 

 

Al Ahly ya Misri ina kibarua cha kusaka ushindi kesho Februari 23 mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

 

 

Inakumbuka kwamba iliwahi kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 ilipocheza na Simba msimu wa 2018, Februari 2019 jambo ambalo linawafanya wawe na tahadhari kubwa licha ya uwekezaji wao mkubwa katika kikosi chao.

 

 

Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Pitso Mosimame amesema kuwa watapambana kupata matokeo chanya licha ya wapinzani wao kuwa vizuri pamoja na mazingira ya joto la Dar.

 

 

“Kwenye mpira jambo ni moja kusaka ushindi ndani ya uwanja, vijana wangu ninatambua wanahitaji ushindi na hilo linawezekana ndani ya uwanja.

 

“Watakuwa nyumbani hilo lipo wazi ila nasi pia tuna kazi moja ya kusaka ushindi ndani ya uwanja hakuna namna tupo tayari, licha ya kwamba joto ni kali…..

The post Waarabu wa Al Ahly Walia na Joto la Dar appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.