-->

Type something and hit enter

On 


Msanii Mkongwe kutokea Congo Koffi Olomide awashtukiza Mashabiki wake waliohudhuria show yake ya Usiku wa Rumba iliyofanyika usiku wa kuamkia February 12, kwa kuutumbuiza kwa mara ya kwanza wimbo alioshirikishwa na Diamond wa ‘Waah’

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Koffi alipoanza kutumbuiza wimbo huo alipata shangwe kutoka kwa Mashabiki wake walioamua kusimama na kucheza.. Bonyeza Play hapa chini kutazama.Click to comment
 
Blog Meets Brand