"Talaka siku 10 baada ya kuolewa" - Wastara Juma - EDUSPORTSTZ

Latest

"Talaka siku 10 baada ya kuolewa" - Wastara Juma

Msanii wa filamu Wastara Juma amenyoosha maelezo kuhusu chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Donge Zanzibar Sadifa Juma, ambapo amesema hakuingia kwenye ndoa hiyo kwa kupenda bali ni kuogopa kuzini.

Akifunguka hayo yote kupitia kipindi cha MamaMia ya East Africa Radio, Wastara Juma amesema 

"Nimeolewa sio kwamba nilikuwa napenda ila mwisho wa siku mimi ni muislam na sitaki kuzini, hakuna atakayeniongelea vizuri labda marehemu Sajuki kama angekuwa hai ndio angeweza kunielezea Wastara ni mwanamke wa aina gani"

"Kabla sijaingia kwenye ndoa mume wangu alikuwa anani-treat vizuri, ananitumia kama laki tatu au mbili baada ya kuingia kwenye ndoa ilikuwa mtihani kweli"

"Kwanza ndoa ilikuwa inasitasita, nilikuwa nikiongea naye kidogo nasikia anasema basi nikupe talaka, na hilo neno nilianza kulisikia siku kumi baada ya kuolewa” ameongezaJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.