-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KIKOSI cha Simba kimewasili salama Jijini Dar es Salaam asubuhi ya Leo Feb 19, 2020 na kwenda moja kwa moja Bunju kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo ujao wa Kimataifa dhidi ya Al Ahly.

 

Simba walikuwa Kanda ya ziwa kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Biashara United na kujinyakulia pointi tatu Baada ya kushinda bao 1-0 lililofungwa na Bernard Morrison.

The post Simba Yatua Dar Kwa Kishondo Kujiandaa Al Ahly – Video appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand