-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

SIMBA inaongoza msimamo wa kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo Februari 23, 2021 kufikisha pointi sita baada ya kuifunga Al-Ahly bao 1-0 Uwanja wa Mkapa.

Bao la Simba limefungwa na Luis Miquissone kipindi cha kwanza cha mchezo huo.

Mchezo mwingine, As Vital imeshinda mabao 4-1 dhidi ya El-Merrekh hivyo kushika nafasi ya pili katika kundi hilo.

Al-Ahly inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi tatu, El-Merrekh hawana pointi.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx


The post Simba Yaongoza Kundi Ligi Ya Mabingwa Afrika, Yaipiga Al-Ahly appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand