SIMBA NA KAGERA SUGAR DAR, YANGA SC KUIFUATA TANZANIA PRISONS SUMBAWANGA 16 BORA KOMBE LA TFF-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA NA KAGERA SUGAR DAR, YANGA SC KUIFUATA TANZANIA PRISONS SUMBAWANGA 16 BORA KOMBE LA TFF-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 SIMBA SC itamenyana na Kagera Sugar hapa Dar es Salaam  na Yanga SC itaifuata Tanzania Prisons huko Sumbawanga mkoani Rukwa katika Hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).No comments:

Post a Comment