-->

Type something and hit enter

On


Mabingwa wa Nchi, Wakimataifa Mnyama Simba SC aunguruma Congo, afanikiwa kuondoka na pointi tatu mbele ya AS Vita Club.AS Vita Club 0 – 1 Simba SC Dakika 90 zikiwa zimemalizika, goli likifungwa na Mugalu kwa njia ya mkwaju wa penati.


 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Hii ni kwa mara ya kwanza #simbasc kupata pointi tatu DR Congo,

Je ni ubora wa Simba au ubovu wa AS Vita Club ?, dondosha comment yako hapo chini 👇👇


Click to comment
 
Blog Meets Brand