-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
ENA WS

MKONGWE Serena Williams jana alimwaga machozi kwenye mkutano na wana habari baada ya kutolewa katika Nusu Fainali ya Australian Open na Naomi Osaka akisema alifanya makosa mengi.
Lakini Serena akakanusha kwamba hiyo ni michuano yake ya mwisho baada ya kuchapwa seti mbili mfululizo (6-3 6-4) na Osaka aliyezima ndoto na binti Williams kutwaa taji la 24 la rekodi Grand Slam.
Naomi atakutana na mchezaji bora namba 22 duniani, Jennifer Brady aliyetinga fainali yake ya kwanza ya Grand Slams Australian Open baada ya kumfunga mchezaji namba 25, Karolina Muchova seti 2-1 (6-4, 3-6, 6-4) uwanja wa Rod Laver Arena, Jijini Melbourne, Australia PICHA ZAIDI GONGA HAPAClick to comment
 
Blog Meets Brand