-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAURI wa uongozi wa Yanga, Senzo Mazingisa leo Feburuari 2, 2021 ametaja sababu tatu za klabu yao kuandaa siku maalum ya vyombo vya habari katika kambi yao ya AVIC Town iliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.

 

Senzo amesema sababu ya kwanza ni kutoa fursa kwa wanahabari kujua na kuzungumza mambo ma mahusiano kati ya klabu yao na wadhamini wao.

 

“Siku zote Yanga ikicheza nafasi ya kuzungumza huwa kwa makocha, wachezaji wanafanya vizuri na kama ukiwa na bahati utaongea na nahodha.

 

“Leo ni tofauti nawaona wawakilishi wa wadhamini wetu Sportpesa, GSM, Afya, Taifa Gas muwaulize leo kwanini wanaidhamini Yanga na kuendelea kuwapa pesa.

 

Senzo amesema sababu ya pili ni kutoa nafasi kwa waandishi kujua mazingira ya kambi yao iliyopo Kigamboni na kujua mazingira yake.

The post Senzo Ataja Sababu za Mwananchi Media Day Kigamboni -Video appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand