-->

Type something and hit enter

On


ROSA Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Rasary Robert ‘Rosa Ree’, amewapa somo badhi ya watu wanaokatishwa tamaa ya maisha.

 

Rosa Ree ameliambia AMANI kuwa siku zote riziki huwa anatoa Mungu, hivyo mwanadamu hautakiwi kukata tamaa huenda bado fungu lako halijafika.

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


“Riziki ya mwandamu ina usiri mkubwa sana ndani yake, ndiyo maana kazi ya kugawa hajapewa yeyote wala malaika, kazi hii inaifanya Mungu peke yake, hivyo wanadamu, hawatakuwa na uwezo wa kuzuia riziki zako, unachotakiwa ni kupambana bila kukata Tamaa,’alisema Rosa Ree.


Click to comment
 
Blog Meets Brand