-->

Type something and hit enter

On 


CHUI @rayvanny kwa mara ya kwanza ameweka wazi juu ya sifa za mwanamke ambaye anapenda kuwa nae kwenye mahusiano kupitia mahojiano na Salama Na .

"Mimi napenda sana mwanamke anayenisikiliza, haijalishi awe mzuri au mbaya . Napenda mwanamke ambaye nikimwambia usifanye hivi ananisikiliza . Pia awe anajali na awe 'baby face' " - @rayvannyClick to comment
 
Blog Meets Brand