-->

Type something and hit enter

On

Kupitia kituo cha habari cha Efm kimepost picha zinazomuonyesha Mkurugenzi wa kituo hicho @majizzo akivishwa pete na @elizabethmichaelofficial

Kwa maana hiyo huenda tukio la kufunga ndoa kati ya wawili hao ambao walisadikika walishafunga ndoa muda sana ndio limetokea hivi leo.


Click to comment
 
Blog Meets Brand