-->

Type something and hit enter

On
Rapper number moja wa Kike Tanzania Rosa Ree, amesema mpaka sasa tayari amerekodi jumla ya nyimbo 30 Kwa Ajili ya Album yake Anayofikiria kuiachia Hivi karibuni lakini bado hajaridhika, anapata hofu na hajui ngoma zipi ziingie kwenye album yake ya kwanza....Huenda Hivi Karibuni atatangaza siku ya kuachia album hiyo
 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLEClick to comment
 
Blog Meets Brand