-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya beki Mfaransa, Jules Koundé dk25 na Mcroatia, Ivan Rakitic dk85 jana yaliwapa wenyeji, Sevilla ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme, Copa del Rey Uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuan.
Timu hizo zitarudiana Machi 3 Uwanja wa Camp Nou. Mara ya mwisho zilikutana katika Robo Fainali ya michuano hiyo miaka miwili iliyopita na Sevilla ilishinda mechi ya kwanza 2-0 kabla ya kwenda kupigwa 6-1
 Click to comment
 
Blog Meets Brand