Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
RATIBA YA ROBO FAINALI AFCON U20

TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Kombe la Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, AFCON U20 baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Morocco katika mchezo wa Kundi C jana Uwanja wa Olimpiki wa Nouakchott nchini Mauritania.
Mabao ya Morocco yalifungwa na viungo El Mehdi Moubarik dakika ya nne kwa penalti, Mohammed Amine Essahel dakika ya nane na mshambuliaji Ayoub Mouloua dakika ya 13.
Tanzania inamaliza na pointi moja nyuma ya Ghana iliyomaliza na pointi nne sawa na Gambia waliomaliza nafasi ya pili, wakati Morocco imeongoza kwa pointi zake saba.
Ghana imefuzu Robo Fainali za AFCON U20 kama mshindi wa tatu bora zaidi ya washindi wa tatu wa makundi A na B.

Alhamisi Februari 25, 2021 | ||||
Saa1:00 usiku
|
![]() ![]() |
|||
Saa 4:00 usiku
|
![]() ![]() |
|||
Ijumaa Februari 26, 2021 | ||||
Saa 1:00 usiku
|
![]() ![]() |
|||
Saa 4:00 usiku
|
![]() ![]() |