-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imeondoka Dar es Salaam Alfajir ya leo kwenda Mauritania kwa ajili ya Fainali za AFCON U20 zinazoanza Jumapili hadi Machi 6.
Ngorongoro imepangwa Kundi C pamoja na Ghana, Tanzania, Gambia na Morocco – na itafungua dimba na Ghana Jumanne kabla ya kucheza na Gambia Februari 19 na kumaliza na Morocco Februari 22, mecho zote Uwanja wa Manispaa ya Nouadhibou.
juzi iliifunga Namungo FC 3-2 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi – mabao yake yakifungwa na Kelvin John mawili dakika ya sita na 26 na Abdul Khamis dakika ya 81, ya Namungo FC yakifungwa na Adam Salamba dakika ya 75 na 87.Click to comment
 
Blog Meets Brand