-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya taifa ya vijana chino ya umri wa miaka 20, itacheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Uganda kesho na Jumamosi Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kujiandaa na Fainali za AFCON U20 zinazotarajiwa kufanyika nchini Mauritania kuanzia Februari 14 hadi Machi 4.
Click to comment
 
Blog Meets Brand