-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MCHEZAJI bora namba tatu duniani, Naomi Osaka wa Japan ametinga Robo Fainali ya Australian Open baada ya kumfunga mwanafainali wa mwaka jana, Garbine Muguruza kwenye raundi ya NNe mapema leo Uwanja wa Melbourne Park, Melbourne.
Osaka, bingwa wa michuano ya 2019 alitoka nyuma kwa seti moja na mchezaji bora namba 14 duniani, Mspaniola huyo (4-6) na kushinda 6-4, 7-5 baada ya saa moja na dakika 55 Uwanja wa Rod Laver Arena 


Click to comment
 
Blog Meets Brand