-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi itapangwa Kundi D itafuzu hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa leo na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), katika Kundi hilo Namungo itakuwa na Raja Club Athletic ya Morocco, Pyramids FC ya Misri na Nkana FC ya Zambia.


MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

KUNDI A

Enyimba FC 
ES Sétif 
Orlando Pirates 
Ahli Benghazi 

KUNDI B 
RS Berkane 
JS Kabylie 
Cotonsport 
NAPSA Stars 

KUNDI C 
Etoile Sahel 
CS Sfaxien 
Salitas FC 
ASC Jaraaf 

KUNDI D 
Raja Club Athletic 
Pyramids FC 
Nkana FC 
Namungo SC/Primeiro Agosto


Click to comment
 
Blog Meets Brand