NAMUNGO FC YAKAMILISHA BIASHARA VIZURI NA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA BAADA YA KUWATOA WAANGOLA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

NAMUNGO FC YAKAMILISHA BIASHARA VIZURI NA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA BAADA YA KUWATOA WAANGOLA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkaoni Lindi imefanikiwa kwenda Hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa 3-1 na Primiero do Agosto ya Angola jioni ya leo Uwanja ww Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Namungo FC inakwenda Hatua ya 16 Bora kwa ushindi wa jumla wa 7-5 baada ya kushinda 6-2 katika mechi ya kwanza iliyochezwa Dar es Salaam pia.
Namungo inaingia Kundi D ambako itakuwa na Raja Casablanca ya Morocco, Pyramids FC ya Misri na Nkana FC ya Zambia.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.