-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

 

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF)  Afrika Namungo FC  imejiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi  baada ya kupata ushindi wa mabao 6-2  dhidi ya wapinzani wao Club Desportivo 1ยบ de Agosto ya Angola katika mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano.

 

Mchezo huo umechezwa leo Feb. 21 katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam, ambapo Agosto walikuwa wenyeji baada ya CAF kuamua mechi zote zichezwa Tanzania.

 

Wenyeji walipata bao kwa njia ya Penalti dk.11 Moya na la pili limefungwa Dk.50 Salvador huku Mabao ya Namungo FC  yamefungwa na Hashim Manyanya dak.29, Sixtus Sabilo dk.37 na 60 aliyefunga mawili,Reliants Lusajo dk.55,Erick Kwizera dk.65 na Steven Sey dk.70.

 

Kwa ushindi huo Namungo wanasubiri Mchezo wa marudiano utakaochezwa uwanja huo huo wa Chamazi huku wakiwa wenyeji utakaopigwa Februari 25 mwaka huu.

 

The post Namungo Fc Yaishushia Mvua ya Mabao De Agosto appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand