-->

Type something and hit enter

On
KENYA 

Katika Shule ya Msingi ya Gitithia Mwanafunzi aliyetambulika kwa jina moja la Wambui ameooteza maisha huku chanzo kikidaiwa alipigwa kichwani na Mwalimu wakati akinawa mikono nje ya darasa


Mama yake, Elizabeth Wanjiku amesema Wambui alilalamika kuhusu maumivu makali ya kichwa wakati aliporudi kutoka Shule, baadaye jioni alipomuuliza alisema alipigwa na Mwalimu


Familia imesema matokeo ya upasuaji yalionesha Mtoto wao alipoteza maisha kutokana na majereha aliyopata baada ya kugongwa na kifaa butu kichwani. Mwalimu Mkuu amesema uchunguzi umeanza na kuwataka Wazazi kuwa na subira.Click to comment
 
Blog Meets Brand