-->

Type something and hit enter

On
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo amesema, wamejipanga kwa ajili ya mzunguko wa pili wa VPL utakaporejea pamoja na ushindani mkubwa uliopo wa vilabu vinavyoshiriki ligi hiyo.
Kasongo pia amesema kabla ya VPL kuendelea Februari 13, kutachezwa mechi za viporo kuanzia Februari 4 hadi 7 ambavyo vingi vimesababishwa na vilabu vinavyoshiriki mashindano ya CAF.

“Tumejipanga na tunarudi kwa kishindo kuendelea pale tulipoishia. Tutakaporudi tutacheza mechi za viporo kwa zile timu zinazoshiriki mashindano ya CAF [Simba na Namungo.], Ligi itaendelea January 13 kwa maana ya mzunguko wa 19, naamini kutakuwa na ushindani wa hali ya juu,” Kasongo.Click to comment
 
Blog Meets Brand