-->

Type something and hit enter

On

Mbunge Salome Makamba, mmoja kati ya waliofukuzwa CHADEMA amesema Ajali za Barabarani hasa kwa Madereva wa Pikipiki (bodaboda), zinasababishwa na adhabu kutoka kwa Askari wa Usalama Barabarani


Salome amedai tatizo hilo linatokana na Trafiki kukifanya Kitengo cha Usalama Barabarani kuwa chanzo cha mapato. Asema, baadhi ya bodaboda huwakimbia Askari ili kukwepa faini, hatimaye wengi wao huangukia ajalini


Ameongeza kuwa, “Watu wanakwepa ma-trafiki, wanakimbia sababu ukikamatwa, hakuna onyo ni faini". Kukithiri kwa adhabu za makosa ya barabarani ni dosari zilizopo katika vifungu vya #Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973.Click to comment
 
Blog Meets Brand