-->

Type something and hit enter

On
Imeripotiwa kuwa baadhi ya mashabiki walilipa kiasi cha ($100) sawa na TSh. 230,000 kwa ajili tu ya picha zao kuwekwa kwenye siti za uwanja wa Raymond James ambapo ilifanyika fainali ya Super Bowl LV usiku wa kuamkia jana.


Kutokana na uwepo wa janga la Corona, uwanja wa Raymond James unaopokea watu 65,890 waliokaa, kwenye mchezo huu ulipokea mashabiki 25,000 pekee na nafasi zilizobaki zilijazwa picha za mashabiki.


Click to comment
 
Blog Meets Brand