-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

NAO Manchester City wamekwenda Robo Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Swansea City jana Uwanja wa Liberty, mabao yake yakifungwa na Kyle Walker dk30, Raheem Sterling dk47, Gabriel Jesus dk50 huku la wenyeji likifungwa na Morgan Whittaker dk77
 


Click to comment
 
Blog Meets Brand