-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

NAO Manchester City wameendelea kulikaribia taji la Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham Hotspur jana Uwanja wa Etihad, mabao ya Rodri kwa penalti dakika ya 23, ─░lkay Gundogan dakika ya 50 na 66.
Man City wanafikisha pointi 56 baada ya kucheza mechi 23 na kuendelea kuongoza kwa pointi saba zaidi ya Leicester City City wanaofuatia na nane zaidi ya mahasimu wao, Manchester United huku wakiwa wana mechi mkononi 


Click to comment
 
Blog Meets Brand