-->

Type something and hit enter

On 


"Amina ni mtu mzuri sina ugomvi na yeye, nashangaa watu wanaongea Mitandaoni nyumba ina watu wengi hadi Amina anashindwa kukaa nina watoto wanne hao wengine wanatoka wapi? Naishi Kariakoo lakini kwa sasa naishi Tabata kwa Alikiba"

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

"Sipendi Instagram kwa sababu sioni faida yake, siwezi kutumia maarufu wa wanangu kupata umaarufu, watoto wangu sio wabishi wananisikiliza" Mama AliKiban.Click to comment
 
Blog Meets Brand