-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Robert Lewandowski dakika ya 17 na 85 jana yaliwapa  mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich uahindi wa 2-0 dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly katika Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia Uwanja wa Ahmed bin Ali Jijini Al Rayyan, Qatar.
Sasa Al Ahly watamenyana na bingwa wa Amerika Kusini, Palmeiras ya Brazil kuwania nafasi ya tatu Saa 12:00 jioni, wakati Bayern Munich itamenyana na bingwa wa Amerika Kaskazini Tigres UANL ya Mexico  katika fainali Saa 3:00 usiku, mechi zote zikipigwa Alhamisi Uwanja wa Education City Jijini Al Rayyan 


Click to comment
 
Blog Meets Brand