Korea Kaskazini yashtumiwa kwa wizi wa data za utengenezaji wa chanjo ya corona - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Korea Kaskazini yashtumiwa kwa wizi wa data za utengenezaji wa chanjo ya corona

 


Korea Kaskazini imenaswa ikijaribu kuiba teknolojia inayotumika kutengeneza chanjo ya virusi vya corona kutoka kampuni ya utengenezaji dawa ya Marekani, Pfizer, kulingana na maafisa wa kijasusi wa Korea Kusini.

Hadi kufikia sasa haijabainika ni taarifa gani hasa ambazo zimeibwa.


Shirika la kijasusi la taifa la Korea Kusini limechukua hatua binafsi na kutaarifu wabunge juu ya kinachodaiwa kuwa uvamizi, kulingana na shirika la habari la eneo la Yonhap.


Hadi sasa kampuni ya Pfizer kufikia sasa bado haijasema lolote.


Korea Kaskazini bado haijawahi kuripoti hata kisa kimoja cha maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya corona.


Hata hivyo, nchi hiyo inatarajiwa kupokea dozi milioni 2 za chanjo ya AstraZeneca wiki chache zijazo.


Korea Kaskazini ilifunga mipaka yake Januari, mwaka jana muda mfupi baada ya ugonjwa wa virusi vya corona kuanza kujitokeza nchini China.


Novemba, Mwaka Jana kampuni ya Microsoft ilisema takribani mashirika 9 ikiwemo Pfizer zilikuwa yamelengwa na mashirika yanayoungwa mkono na serikali nchini Korea Kaskazini na Urusi.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz