Kimenuka..Hamisa Mobetto na Rayvanny Wakamatwa na Polisi na Kuachiliwa kwa Dhamana - EDUSPORTSTZ

Latest

Kimenuka..Hamisa Mobetto na Rayvanny Wakamatwa na Polisi na Kuachiliwa kwa Dhamana

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Japhet Kibona, amesema ni kweli  wasanii Hamisa Mobetto na Rayvanny walikuwa wanashikiliwa na polisi kituo cha Osterbay lakini wameachiwa kwa dhamana na uchunguzi bado unaendelea kufanyika.

 Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Japhet Kibona ameeleza kuwa

"Ni kweli walikamatwa jana, hii ni kesi ya polisi na hupaswi kueleza walichokizungumza ni nini ila kilichopo ni kusambaza picha kwenye mtandao bila ridhaa ya mmoja wapo mwenye hizo picha, Hamisa na Rayvanny walidhaminiwa wote".

"Tunaendelea na uchunguzi kwa kilichofanyika na uchunguzi wetu na upelelezi ndio utakaoridhia, pia kuna Mwanasheria ambaye atapitia kama kilichofanyika ni kosa la kijinai au la" ameongeza 

Rayvanny anadaiwa kuvujisha video mitandaoni akiwa ana-kiss na mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja ambaye ni mwanafunzi Paulah Kajala, na Hamisa Mobetto anadaiwa ndiyo alimpeleka mtoto huyo kwa Rayvanny.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz