Kim Amrejesha Yondani Taifa Stars-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kim Amrejesha Yondani Taifa Stars-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanznaia Taifa Stars Kim Poulsen amemrejesha kikosini mlizi kisiki na mkongwe Kelvin Yondani kwenye kikosi cha wachezaji 42 alichokiita leo, kitakachoingia kambini kujiandaa kwa michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Kenya na ya kufuzu AFCON.

 

Taifa stars itacheza pia michezo miwili ya kufuzu AFCON mwishoni mwa mwezi Machi ikiwa ni michezo ya kundi J, ambapo kikosi Tanzania kitakuwa na mchezo dhidi ya Equatorial Guinea Machi 22, 2021. mchezo huuutachezwa ugenini na Machi 30 itacheza dhidi ya Libya mchezo utakao chezwa Dar es salaam.

 

Kwenye kundi hilo taifa Stars ipo nafasi ya 3 ikiwa na alama 4, wakati Tunisia ndio vinara wa kundi hilo na wameshafuzu wakiwa na alama 10 na nafasi ya pili wapo Equatorial Guinea wenye alama 4 na Libya ndio wanaburuza mkia wakiwa na 3.

Kikosi kamili kilichoitwa na kocha Kim Poulsen

 

The post Kim Amrejesha Yondani Taifa Stars appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz