-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

SHIRIKISHO soka nchini, (TFF) leo Februari 11, 2021, limekubaliana kuvunja makubaliano na Kocha wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije.  Hii ni baada ya makubaliano ya kikao cha pamoja.

 

Katika taarifa yake, TFF imeshumkuru Ndayiragije kwa kazi yake akiifundisha Stars na kumtakia mafanikio mema aendako.

 

Aidha, TFF  imesema  itamtangaza mbadala wake baada ya mchakato wa kumpata utakapokamilika.


The post Kibarua cha Kocha Ndayiragije Chaota Nyasi Stars appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand