-->

Type something and hit enter

On


Hospitali ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro kupitia kwa msemaji wake Gabriel Chiseo, imeweka wazi kuwa hakuna mpango wa kugoma kwa madaktari kwenye ngazi zote na wanaendelea na majukumu yao kama kawaida.

 

“Madaktari kwenye ngazi zote wote wako kwenye majukumu yao ya kawaida, hakuna mwenye wazo wala mwenye nia yakufanya mgomo.

 

Aidha ameongeza kuwa, “Kwenye vifaa vya PPE sio kweli kuwa tumevikosa ama kuna uhaba hata kama kuna vifaa tunavikosa sisi huwa kuna namna tunavipata na hili halijawahi kutokea katika hospitali ya KCMC,” amesema Chiseo.Click to comment
 
Blog Meets Brand