-->

Type something and hit enter

On
Uhusiano tata kati ya msanii wa Bongo Muvi, Kajala Masanja na msanii wa kizazi kipya cha Bongo fleva, Rajabu Abdulkahari ‘Harmonize’ ambao hivi karibuni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii umekua gumzo kuhusu uhusiano wao wa kimapenzi.
 Harmonize ameweka  picha ya Kajala, kwenye Instagram yake kama ‘profaili’ na hata kwenye mtandao wa ‘Whatsap’ akionyesha wazi yuko kwenye mapenzi na Kajala, ni ishara tosha ya kuwa watu hao wameshafika mbali kwenye uhusiano wako wa kimapenzi

Kwa upande wa Kajala ameamua kufunguka ishu nzima na kusema kuwa atafutwe Harmonize kujibu sababu ya kufanya hivyo  na kama kweli ni wapenzi basi itajulikana

Kama tuko kwenye uhusiano itajulikana maana hatuwezi kuficha mpaka mwisho kwa hiyo wanaoamini hivyo wasubiri wataona” alisema Kajala nakuomba atafutwe Harmonize, kwa sababu yeye ndio anaweka vitu hivyo.


Click to comment
 
Blog Meets Brand