Joe Biden azungumza na Kenyatta - EDUSPORTSTZ

Latest

Joe Biden azungumza na Kenyatta

Rais wa Marekani Joe Biden amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kuelezea hamu ya Marekani kushirikiana na nchi ya Kenya.

Kulingana na Ikulu ya White House, Biden amesisitiza umuhimu wa uhusiano thabiti kati ya Marekani na Kenya wakati wa mazungumzo hayo.Kwa mujibu wa habari, Marekani imesisitiza azma yake ya kufanya kazi kwa karibu na Kenya kukuza amani na usalama wa eneo.Taarifa hiyo ilisema,

"Rais Biden amesifu uongozi wa Kenya, kujitolea kwake kupambana na ugaidi, ukuaji wa uchumi, mapambano dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa na maendeleo endelevu," Viongozi hao wawili pia walizungumzia mgogoro wa katika mkoa wa Tigray wa Ethiopia.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz