Jela miaka 30 kwa kumlawiti mtoto wa miaka 15 - EDUSPORTSTZ

Latest

Jela miaka 30 kwa kumlawiti mtoto wa miaka 15

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Serengeti imemhukumu Mageta Masaro (29) mkazi wa Nyakitono kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 15.Hakimu mkazi mfawidhi wa Wilaya Serengeti,  Ismael Ngaile katika kesi ya jinai namba  117/2020 leo Ijumaa Februari 26, 2021 amesema ushahidi wa watu sita uliowasilishwa na Serikali haukuacha shaka.
Amesema kutokana na kukithiri kwa matukio ya ubakaji mahakama inalazimika kutoa adhabu kali ili iwe fundisho kwa watu wengine.
Mwendesha mashtaka wa Serikali, Renatus Zakeo amesema Aprili 24, 2020 mshtakiwa alimtumia binti aliyekuwa akiishi nyumbani kwao kumuita mtoto huyo mwanafunzi wa shule ya msingi Nyakitono na alipofika alimkamata na kumlawiti.
Amesema mtoto huyo alipiga kelele na wananchi wakajitokeza na kumkamata mshtakiwa, na mtoto huyo alipopimwa iligundulika kuwa amelawitiwa.
Alibainisha kuwa hawana rekodi ya matukio ya mshtakiwa lakini ameiomba mahakama itoe adhabu kulingana na kosa alilokuwa nalo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz